DUKALANGU POS

DukaLangu POS: Simamia Mauzo, Stock na Faida

DukaLangu POS ni mfumo wa mauzo, stock na faida kwa biashara Tanzania. Fahamu features, bei na jinsi ya kupakua app kwa Android na iPhone.

Bei ya kuanza: 10,000 TZS kwa mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure, jumla miezi 2. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi.

Mfumo mmoja kwa kazi za kila siku

Rekodi mauzo, fuatilia bidhaa na gharama, panga ruhusa za sellers na angalia profit/loss.

Inafaa kwa duka, mini market na supermarket. Angalia features zote au fahamu DukaLangu.

Dashboard ya DukaLangu POS kwa mauzo na stock

Maswali kuhusu DukaLangu POS

DukaLangu POS ni nini?

DukaLangu POS ni mfumo wa mauzo wa duka Tanzania unaokusaidia kusimamia sales, stock, inventory, expenses, na profit/loss sehemu moja.

DukaLangu inafaa kwa maduka gani?

Inafaa kwa duka la kawaida, mini market, supermarket, na biashara nyingine za retail zinazohitaji sales and stock management ya uhakika.

Je, DukaLangu ina stock management?

Ndiyo. Unaweza kufuatilia stock status, kuona bidhaa zinazoisha, na kupata reports zinazokusaidia kupanga ununuzi mapema.

Je, ina barcode scanning?

Ndiyo. Barcode scanning inasaidia kuuza haraka, kupunguza makosa ya bidhaa, na kuboresha checkout experience dukani.

Je, naweza kuuza bidhaa kwa fraction kama 1/2?

Ndiyo. Mfumo unaruhusu kuuza kwa vipande kama 1/2 au 1/4 kulingana na setup ya bidhaa zako.

Je, inaweza kutumiwa na sellers wengi?

Ndiyo. DukaLangu ina multi-seller support, hivyo unaweza kuwa na cashiers/sellers wengi kwenye duka moja au branch tofauti.

Je, sellers wanaweza kuona buying price na profit?

Una-control permissions. Unaweza kuwazuia sellers wasione buying price au profit data ili kulinda taarifa nyeti za biashara.

Bei ya DukaLangu ni kiasi gani?

Malipo ya kwanza ni TZS 10,000 kwa mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure, jumla miezi 2. Baada ya miezi 2 ya mwanzo, malipo ya kuendelea ni TZS 10,000 kwa mwezi.

Malipo ya kwanza yanatoa miezi mingapi?

Unapata miezi 2 kwa TZS 10,000: mwezi 1 wa kulipia + mwezi 1 bure. Baada ya hapo, renewal ni TZS 10,000 kwa mwezi.

Je, DukaLangu inaweza kutumika kwa supermarket?

Ndiyo. Ina support ya fast multi-item selling, multi-user roles, na multi-shop management kwa operations za supermarket.

Je, mfumo unasaidia profit na loss calculation?

Ndiyo. Profit and loss inahesabiwa kwa kutumia buying price, selling price, na expenses ili upate picha halisi ya biashara.

Ninaanzaje kutumia DukaLangu POS?

Pakua DukaLangu kupitia Google Play kwa Android au App Store kwa iPhone kwenye ukurasa wa Download App. Unaweza kuomba demo au kuwasiliana na mambo@dukalangu.co.tz kwa msaada wa kuanza.

Nipakue wapi app ya DukaLangu POS?

Tembelea https://dukalangu.co.tz/download kwa viungo vya DukaLangu kwenye Google Play na App Store. Chagua store inayolingana na simu yako.

Ninapataje msaada wa DukaLangu?

Andika mambo@dukalangu.co.tz au piga +255 692 747 320. Kwa maelezo ya biashara yako au ombi la demo, tumia ukurasa wa Wasiliana Nasi au Omba Demo.

Maelezo zaidi: bei na renewal, features, Download App na msaada.

Unahitaji msaada wa kuanza?

Omba demo au wasiliana na timu yetu. Soma pia makala za biashara.